MCHEZA CHURA Sehemu ya 16 na 17

MCHEZA CHURA Sehemu ya 16  na 17

🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻 Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Daah hivi mnajua hakuna kitu huwa sikipendi katika maisha yangu kama.mfanyakazi wangu kuniuliza swali. Huwa sipendi sana. Nikamuangalia kwanza aida kisha nikamuuliza kwani huu usiku hautokeki au unakuajee. Akasema hapana kaka samahani mi nilihisi labda unaenda mahala kuna shida mana nimeona ni usiku. Na huwa hutokagi usiku. Nikasema wala hakuna shida ila naenda tu kutuliza akili yangu. Na kujimix na washikaji naona sipo sawa bado.so kuwa makini na watoto wangu. Akanmbia sawa. Kisha akaludi chumbani. Basi kweli bwana nikatoka sebleni nikamchukua ally. Nikaingia katika gari ya ally sasa. Mana alikuja na gali yake.nikaona tutumie

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments