MCHEZA CHURA Sehemu ya 5

MCHEZA CHURA Sehemu ya 5

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Oyaaa nikadrive nikiwa na vibe kinoma. Mpaka home nikaingia ndani na haraka nikaingia chumbani nikaanza kufungua kabati sasa kucheki hilo kadi. Nikawa napekua pekua .na kweli nikaona bwana.nikavuta chapu.nikatoka chumbani. Ile nataka kutoka njeee sasa yani nipo katika mlango wa sebleni. Na mlango wangu unagongwa. Nikafungua ahaa ni ally. Ally ni binamu yangu ila ni kama mshikaji wangu. Ni rafiko yangu sana tu. Tunaongea mengi na kuelewana sana. Na ana biashara zake na nahusika kwa asimilia 80 katika mafanikio yake ya kibiashara. Basi ally akanmbia daah mwanagu vp.nikasema mbona asubuh asubuh ww. Mi naenda hospital.mke

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments