
KIPANDE CHA 6 🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻 Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Nililia kama mwanamke. Yani kama nilifiwa na mama vile .uyu mwanamke aliniuma sana. Mairah ni mwanamke wangu wa pekeee sana. Uko nyuma nilishawahi kiwa na mahusiano mengi tu ila sijawahi kupata mwanamke kama mairah . Ni mwanamke ambae alikuwa na heshima na unyenyekevu sana kwangu. Asieweza ata kubishana kidogo na mimi .nnapopamda hukaa kimya mala zote. Mairahaa alipendwa na kila mtu katika familia yangu. Yani nilihisi kabisa nimefiwa na nimepoteza kipande cha pili cha moyo wangu. Nililia mnoooo. ALLY alijalibu kunituliza. Ila nilimwambia niache nilie .yani niache ally na kweli alikaa
0 Comments