MCHEZA CHURA Sehemu ya 7 na 8

MCHEZA CHURA Sehemu ya 7 na 8

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Basi bwanaaa. Nikampigia kwanza Dr. Kumuuliza halo ya mtoto hospital. Akanmbia pole sana Mr Nillan kwa kupoteza mke .ila mtoto anaendelea vizuri sana. Na tunakuhakikishia ata kuwa sawa na uyu mtoto utampata kabisa. Nikasema Plsssss Dr. Naomba sana yani naomba mnoo. Ujitahidi uyo mtoto nimpate kwa gharama yoyote ile. Dr akanambia sawa na wala usijali kabisaaa. Na kuwa na amani nikasema sawa Kisha sasa ndo nikaja ndani nikaomba kuongea na binti yangu mai. Yani ata hakijielewi kanicheka mnoo. Dooh nikamungalia sana. Miaka mitano kasoro ata kuwaza kidogo hakuna. Nikamuuliza mai upo powa . Akanmbia eeeh

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments