MILELE Sehemu ya 15

MILELE Sehemu ya 15

Mwandishi:lissa mwalla aliniangalia akaenda kukaa kitandani, mm sikuogopa nilishajitia muhanga, liwalo na liwe, nikamsogelea na bakul la maji na pamba nikaanza mfuta dam kumbe zilimtoka nyingi hadi kwenye tshet lake kukikua na dam,mmh kijana ana hasira huyu had dam kumtoka si mchezo, nikamaliza kumsafisha mana zilikata tyr, yy alikua ananitizama tu, mara nae akachukua pamba akanifuta dam mdomon na puani kisha akanikumbatia, akasema nakupenda bria, mm ni mdhaifu sana kwako, kwa nn unenifanyia hivo lkn? Kwa nn umeniumiza hiv make wangu? Jana nilipata maumiv yasioelezeka, nilitaman ardhi ipasuke niingie, mawazo ya unachoenda kufanya na jamaa yaliniumiza sana, briaa kwa nn

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments