MILELE Sehemu ya 18

MILELE Sehemu ya 18

Mwandishi:lissa mwalla Mmh nikajikaza nikasema mama samahani kama nimekukosea samahani mamangu jmn, akasema hiv huelew? Nakwambia nina chaguo langu na sio ww, niliona nikufatilir nijue kumbe ww n binti wa hovyo sana, kuna kitu unataka kwa mwanangu wewe sio bure ndio mana unatoka kwa wanaume umelewa chakali unaenda kwa mwanangu nae anakupokea, nadhani kuna kitu umemfanya sasa binti potea ktk maisha ya mwanangu. Mmmh nani kamwambia yote haya jmn? Nani? Au anko ake p? Hapana hawez anatoka na rafiki angu sasa nani? Machozi yalinitoka mana ni kweli, akasema ingia ndani beba begi lako nakupa nauli rudi kwenu,nilizubaa akanisukuma akasema ingia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments