
Mwandishi; lissa wa huru media Jordan akanmbia uache kazi vp yani, kwanini uache kazi, nikasema jordan mm sio mtoto mbona unapenda kunifokea , tena mbele ya watoto wangu, na mm ni binadamu nakosea pia why unapenda kunikashifu kwa maneno makali, jordan Akananmbia ila si nimesema sory mama wawili, mi ni mtu amabae hasira zangu zipo karibu sana, ila samahani plsss, nikasema sitaki nataka kwenda, akanmbia okey, una pesa ya kunilipa ada niliyowalipia wanao, mana nimewalipia hawajamaliz ata miez 3 we unataka kuondoka na watoto, basi sio suala , nilipe pesa yangu, nikabaki kimyaa ,akanmbia huna bwana rudisha mabeg uendelee na
0 Comments