
Mwandishi:lissa mwalla Nilikua kama sijaskia vizur, nikasema kaka unasemaje? Akasema ndio hivo dada amefariki ana miezi mitatu sijui alipata ajali dar huko akafariki, miguu ilikosa nguvu nikakaa chini maskio yakawa yanafanya nziiiiii nziiiiiiii amefariki Amefariki saut hii ikawa inajirudia akilini mwangu, nikacheka kwanza huku nikisaza amefariki? Yule kaka akasema dada kwani ww alikua nani yake? Nikasema mm mke wake. Yule kaka akatizamana na mwanamke wake, kisha akasema ulikua wapi sasa hadi ujui? Nikasema shuleni nasoma rey ananisomesha. Wakatizama tena mama nikasema kama mnanitania kunipima Naomba msifanye hivo naomba niitieni rey miguu inaniuma. Yule dada akanikumbatia akasema dia pole sana. Nikashusha
0 Comments