MILELE Sehemu ya 20

MILELE Sehemu ya 20

Mwandishi:lissa mwalla Nikasema hiv naota au? Akanisukuma nikawa chin nyy akanyanyuka, akasema naona unapenda kulala hapo endelea kuota, daa sasa inakuaje hivi? Natembeahe hapa? Mm nikinyanyuka nilimtizama nyie alikua n p vilevile ongea yake kama ile ya kipind hatuko wapenz sura yake, mm nilikua namsogelea, nikasema p? Akaniangalia kisha akageuka nyuma kmakanitizama tena akasema unaongea na mm? Nikasema p naongea na ww, ni ww p? Machozi yakinitoka nikamsogelea nikaanza mshika sura nambonyeza labda mzimu, akatulia kidogo akinishangaa alikua ni mtu kabisa na nyama na mifupa, mara akasogea nyuma akasema we dada mzima kweli ww? Mm sipend kushikwashikwa kwan uko sawa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments