
Mwandishi:lissa mwalla sikuhisi kitu wala .nikamtizama nikasema naomba nipe muda nitakujibu,akasema sawa bby,akanibusu kwenye paj la uso,tukaendelea na stor zingine sasa,huku ananichekesha nacheka kweli kweli,tukala akanirudisha nyumbn kwa zeta yy akaondoka.nilimwambia zeta na kumlaumu kwa kumwambia kuhusu p,akasema aliniuliza sasa ningemdanganya?akaanza nae kuniambia niwe nae tu nijipe nafasi mbn p amefariki zamani ni miaka inaelekea minne sasa.nikasema sawa.siku hii nililala kwa zeta nikiwa chumbn nilifungua email yangu nikatizama picha za mm na p,nikasema p wao wanaona umeondoka zamani lkn mm ni kama jana umeniacha naona,nawezaje kukusahau mm p?nawezaje kuwa na mwanaume mwingine?mbona siwezi p?je utakua na furaha kweli?p nimekumis sana
0 Comments