
Mwandishi:lissa mwalla Mwanamke wake alipagawa akasema we mwanamje umemfanya nn mme wangu ww? Mm nikasema sijamfanya kitu mm mbn, hazard akasema esta usianze tony andaa Gar twende hospital alisema hazard mm nilichanganyikiwa watu wa hotel walifika wakasema kulikoni?hazard akawa anawaeleza mm machozi tu,mara king akaanza kuamka,esta(mwanamke wake)akamsogelea akasema bby bby umeamka,king akamtizama kwa muda esta bila kujibu esta akamshika uson king akakwepesha uso huku akisema usinishike,alimtizama kama hamjui vile,mmh nilishangaa tony akasema gar iko jirani twendeni,hazard akamshika king lkn king akasema yuko poa anataka tu kwenda kupumzika,hazard akasema ukifaint man twende hospital king akasema nina dawa nitakua poa, akaanza kuelekea
0 Comments