
Mwandishi:lissa mwalla Nikacheka huku najitoa mikononi mwake, lkn hakuniachia alinikumbatia kwanguvu ,Nikasema umesahau hotel ulinikumbatia na ...ukinikumbatia, akacheka akasema nawezahe kusahau sasa like busu na kumbato, naweza sema lilikua ni busu lilisosimamisha dunia kwa muda nikaona tupo mm na we tu dunia nzima, nikampiga kikofi nikasema ww unayabia mbaya, akacheka akasema tania gani? We hukupenda kwani, halafu uliniachia midomo vizur ukafumba na macho aisee mtoto unayajua ww, nikasema niache huko, akasema unaona aibu? Hiv nataka nirudie tena hapa, nikasema p noo, ww unamtu wako, sio vizur kumfanyia hivo bana na esta anakupenda sana,, akasema mmh kweli unamaanisha hivo? Mbn mwili
0 Comments