MILELE Sehemu ya 24

MILELE Sehemu ya 24

Mwandishi:lissa mwalla Kinga akasema nilikua mchek jamaa yangu yule anafanya kazi hapa nikakutana na bria, vip kwani kuna tatizo bro? Hazard akasema noo hakuna tatizo nimeshanga tu kukukuta hapa na umetoka ofisini hujaniaga, kinga akasema nilikua nafanya fasta tu na kwanza ngoja, mbn hamjaniambia kuwa nyie tyr ni wapenzi? Mm nikasema noo bdo sijampa jibu lake, hazard akasema najua atanioa jibu zuri tu na nimejua utakua umemaliza mtihani wa asubuhi hivo nikaona nije nipate nawe kifungua kinywa mana uko busy sana bby. Mm nikasema kweli, basi akavuta kitu akakaa mm kiroho kinasema we nini bana si uwendee huko? King alikua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments