
Mwandishi:lissa mwalla Hazard akasema aaah vip bro, King hakujib alikua ananitizama mm had kaeka mikono kiunoni, hazard akachukua bukta akavaa akasema oya bro vip, King akasema ooh sor aisee brother nimekuja bila hodi sor sikujua uko busy, hazard akanirushia tshet mm nikavaa pia, King akatoka nje na hazard akamfata uwii nilitafuta chupi haraka moyo unauma najihisi msaliti kabisa, macho ya king alivokua ananitizama ni kama anasema kwel unanisaliti,nilivaa haraka nikachukua kipochi changu nikatoka,nikawakuta wao wako nje hiv wanaongea,hazard akasema unaenda wap sasa bby,nakuja nikukute ndani,nikasema nimepigiwa simu chuo nahitajika kuna taarifa zangu hazijakaa vizur bby hivo naenda, akasema ngoja nikupeleke
0 Comments