
⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ Mwandishi : lissa huru media Basi mie nikaamka nimekaa zangu kitandani nna hasiraaa mnoo, yani sanaaa, mala mlango wa pamela ukagongwa, pamela akanmbia ndo hao, basi yeye akaenda kuwkalibisha sebleni mie nipo chumbani tuli, basi bwana wakaingia ndani, mi nasikia tu pamela anawakalibisha, apo sasa mie n ndo nikatoka ndani sasa, nipo top nna hasira, nikauliza aya mmefata nn apaa, melvin akashangaa mie kuongea vile kisha akanmbia zara kwani kuna shida. Au kuna tatizo, nikasema sikia ww usinivuruge mm na ww hatudaiani, unanaifata fata nn, wanao si nimekuachaia au nimewachukua, melvin akanyamaza kimyaaa, nikasema mnazani mtanifanya mjinga kila siku
0 Comments