MILELE Sehemu ya 32

MILELE Sehemu ya 32

Mwandishi:lissa mwalla P akatoka juu yangu akasema nani huyo? Aaagh mm nikamashika nikasema usifungue n ethan huyo mchunba wangu, p akasema usiseme hivo unanikera na unaniboa sana unajua?unakuaje mchumba wa mtu wakati ww n mke wangu? Naensmda kufungua sasa nafkir ni wakat wa yy kuujua ukwel sasa, Nikasema naomba nisamehe bby usifanye hivo itakua skendo, akasema huoni anagonga kama kalipia yy rum hii? Acha niende. Akavaa tshet na bukta akawa anaenda mm natetemeka nikawa ninamfata, akasema baki hapo, mm nikaaa nimesimama kabibu na mlango wa bafuni, p alifungua halafu akasema oya mbna vurugu ndani kuna nn? Ethan akasema sina maneno

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments