SEASON TWO MMMH JERRY UTAICHANA SASA JAMAN 21-23

SEASON TWO MMMH JERRY UTAICHANA SASA JAMAN 21-23

21 “What do u mean “ “Anamanisha tulioana kwaajili ya mama tu but siyo ndoa serious ni ndoa ya kuigiza tu , Nicky aliona nachelewa kujibu akaamua kujibu yeye mwenyewe “Is that true pretty ? Jericco aliniuliza na kuniita oretty kabbisa 😂😂😂 jmn nilijiskia paaaaa yaani moyo wangu ulipasuka kwa furaha mnoo Huyu mwanaume ameshauona uzuri wangu mapema hii aaah hapa ndoa tunayo🤣🤣 niliijiqmbia “Kabisa ni maigizo tu but hata mm sina furaha kabisa Kwa hiki tulichofanya nahitaji kuwa free sana na kurudi chuoni kuwndelea na masomo yangu nilijibu jikiwa najiamin kabisa “Prove it kama si ndoa ya kweli alisema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments