
Mwandishi:lissa mwalla Nilijiskia vibaya kwa kauli zaje japo n kwel mm ndio chanzo lkn sikutaka hiv sababu namoenda mme wangu jmn, n mapenzi tu haya, nilimfuata nikasema nisamehe mnw wangu, najua nilikosea sana naumia sana sababu hii pia bby, lkn nikiondoka nitaenda wap wakat ww ndie nikupendae? Maisha yangu yako na ww bby ww ndio una moyo wangu, bby naomba tukabiliane na hili pamoja tusikate tamaa mme wangu, p hakuniskiliza alitoka chumbn akaenda zake,niliskia get tu lkn sikuskia Gar ikitoka, nikitoka nje ya chumbn lengo langu nimfate lkn nilipoufikia mlango wa sebln ulifungwa na funguo hazikuepo,ni waz alinifungia hakutaka nitoke
0 Comments