
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐 Mwandishi:lissa mwalla Titus akasema nyie msiwe na shaka, huyu hatoki hata kama ndio itakua kazi yangu ya mwisho kuifanya nikiwa naitumikia nchi yangu, amewaliza wengi sana huyu mpuuz,p akasema sasa utafanyaje? Akasema tulia kijana unanikumbuka nikivokua mtata enzi hizo sijapoa wala, p akasema sawa mzee. Tulitoka na Titus hadi sehemu tukala msosi kisha tukarudi nyumbn. Mama mkwe alikua hajui chochote wala, yy bdo ananichukia na kuninunia lkn anajikaza mana hana namna mm ndio muuguzi wake, siku ya mahakamani ikafika tuliqahi asubuhi tukaingia. Kesi yetu tuiiambiwa n ya kwanza lkn tulishangaa jina linatajwa lingine, mmh hii mbona sio ya ethan
0 Comments