
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐 Mwandishi:lissa mwalla Nikasema mamangu usiwe na wasiwasi, mm sina tatizo na wa kabisa mama, yake yamepita mamangu na kuhusu p nitaongea nae mama wala usijali kuwa na amani tu, akasema amani naitoa wapi mwanangu kwa yaliotokea? Najiona nipo uchi natembea mwanangu, yani yule mwanaume alaaniwe yule yy na ukoo wake mzima kwa kitendo alichonifanyia, kweli akanidhalilishe hivo kwa mwanangu wa kumzaa kweki jmn mimi aibu gani hii mm? Alilia sana mama mkwe nikamkumbatia na kumtuliza lkn alilia na kusema najuta mm naomba sana Mungu anisamehe kwa kitendo nilichofanya jmn, mwanangu mm atakua ananiangaliaje na kunichukuliaje mm mamake jmn? Je
0 Comments