MILELE Sehemu ya 40

MILELE Sehemu ya 40

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nikistuka kwanza lkn nikajikaza, nikasema unasemaje, akasema bris sanahani kwa yote, najua nilikosea sana ktk mengi, najua niliumiza wengi kwa namna tofauti tofauti sijui nifanye vip ili niweze omba msamaha kwa wote, mm nilikua kimya tu, akasema bria nimekaa gizani kwa miaka mitatu, nimejifunza na kutubu sana, nimejutia ujinga wangu mno nashkuru umeirudisha ile namba yko ya zamani bria hadi nimekupata,nisamehe tafadhari nakuomba,mm nikawa kimya tu,akasema bria nina historia ndefu na ya huzuni sana japo haikunipa mm mamlaka ya kuchagua upande mbaya wa maisha,najutia sana maamuz yangu ya kutaka naisha mazuri kias cha kuutoa utu wa watu,nilifanya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments