MMMH JERRY UTAICHANA SASA JAMAN SEASON TWO 27

MMMH JERRY UTAICHANA SASA JAMAN SEASON TWO 27

SEHEMU YA 27 Jerry aliendesha gari hadi sehem moja hivi kwenye restaurant kubwa ya kifaransa Alipack nje then akaniomba tushuke ili tukaongee zetu ndani i feel so good being with him together ☺️ Nilitamani hata huo mtihani ungeahirishwa tu nibakie na Jericco 😂😂 Ila no way najua itafika time atasema tu anachotaka kukisema Tulipokelewa na mdada wa kibongo very smart and classic woman “Karibuni ……. “Thankyou so much alijibu Jericco Yule mdada akatupatia menu yao ☺️ Yan nilikuwa natumbua macho tu maana hakuna kitu nilielewa pale kwa ile menu 😂😂 Vyakula vingi vya french nilikuwa sijawahi hata kuviona ila nlipomtizama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments