
49 MPAKA 50 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana na location knavyosema mana akitembea na simu tu anakuwa anaonekana .lemi akanambia huwa namuona akitoka kibaha. Anaenda mikocheni . Na apo mikocheni huwa anakaa ata siku nzima nafikiri apo ndo kazini kwake. Nikasema sawa this week end nakuja dar nataka twende apo kunduchi beach tukaangalie. Akanambia fresh. Basi ijumaaa tu ya iyo week nilipotoka job. Mwanaume nikanyanyua chuma mpka saa 4 nipo dar kwa lemi. Apo lemi alikiwa
0 Comments