MALAIKA SEHEMU YA 2

MALAIKA SEHEMU YA 2

ALIMJARIBU 'BOI' WA NDANI ILI KUHAKIKISHA KAMA NI TASA Hapo ndipo Malaika alipohisi dunia nzima imemuelekea yeye. Kila kona aliyopita ilikuwa ni masengenyo, dharau za ndugu, na minong’ono ya majirani iliyomchoma kama mkuki. Lakini kilichokuwa kinamuua kabisa ni Baraka, mume wake. Yule mwanaume aliyemwahidi kumlinda "kwenye shida na raha," sasa amekuwa baridi kama barafu, anampuuza na kumtazama kama vile yeye ndiye balaa lililoingia kwenye ile nyumba ya Arusha. Ile hali ya kuishi na mume ambaye hakuongeleshi, anakukasirikie bila sababu, na kukuona huna thamani, ilimvua nguvu Malaika. Alikuwa anatembea ndani ya lile jumba kama msukule; kuta za nyumba zilionekana kama zinataka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments