
Daaah lemi akaja akanmbia relex. Ndo mala ya kwanza hawez kuelewa . Tulia mwanangu kila kitu kitakua sawa nikasema powa . Basi tukapanda gari tukaludi kwa lemi. Apo mm akiri haikamati kabisa. Nikasema lemi mi nipo kama week nataka niwekane sawa kbisa na princess akanmbia saw. Basi jioni saa nilmpigia princess tuongeee .aseee alivyopoke na akajua ni mm. Niljuta. Alinitukana matusi ya. Nguoni sitasahau. Unaua mi sijawah kugombana na princess mpaka akanitukana ata mjinga tu ila hii siku nilijutaa. Aabaaaaa yani aliuvua uanaume wangu wote akauweka paleeee Alinambia we msenge si nishakukataza kunifatilia. Nimekwambia kaaa mbali na maisha yangu msenge
0 Comments