MJEDA NA BEAUTIFUL THIEF 4-5

MJEDA NA BEAUTIFUL THIEF 4-5

____________ Sehemu YA 4 Tulitizamana na Ema huku tunashangaa, tuliwasikiliza, wakasema wanamtafuta Ashura katoka kufanya mauwaji kwa Norber, aisee! walijuwa kutuchosha na sisi tukasombwa tukaeleze mwenzetu yuko wapi, nyie nilijuta. kuja, bora tungebaki tu kwa mamdogo akatupiga, tulifika kituoni tukaanza kuhojiwa, hapo na mamdogo akawa amefika, tulijieleza. Tukawekwa kando, mamdogo akaja akatusaidia tukarudi nyumbani hapo tumenywea hatujui lolote huko, mamdogo ni ana hasira, kashapigia ukoo mzima wote una taarifa zetu, bahati nzuri walimpata Ashura, tulipata nafasi pia ya kuongea naye, kumbe masikini hata hajaua "Sara sijaua naapa, alivyoniita nimefika nakuta anakata roho sijui nini kimemuua nilipaniki nikakimbia kwa sababu nilithibitisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments