Mjeda na Beautiful Thief 6 to 7

Mjeda na Beautiful Thief 6 to 7

EP 6. Nilikuwa nishasahau kama kuna mbwa natakiwa kuwapa dawa, acha waanze kubweka na kunifukuzia, niliruka vibaya ukuta nikaumia, ila hata sikusikia maumivu kwa wakati huo, nilifika home kwanza nikalala kumbe niliumiaa vibaya mno, asubuhi nakuja kuamka najikuta niko hospitali, nilizimia bila kujua yaani nilihisi nasinzia kumbee ndio nazima hivyo, sijui hata nililetwa saa ngapi, nikajaribu kuinuka, nashindwa kumbe nimeteguka mguu na mkono yaani siwezi hata kula mwenyewe nalishwa. Niliuguzwa mpaka nikapona, upande wa Ema. hali ilikuwa mbaya wadada walifika kwa mjomba kupata suluhu, vibinti vilikuwa virembo yani pisi za kwenda, ukikutana naye nje ya mkoa wao ukaambiwa ni wakurya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments