
EPSODE 33 Basi Rispa alipoona kaletewa zawadi aisee alipita mbele yangu kwa maringo na madahaa akiwa kashikilia miguko yake mitano ta zawadi 😂 wakat huo mimi nimepewa mitatu Basi Rispa akajiona ameuteka moyo wa Jericco hafurukuri juu yake 😂😂 “ Kupendwa kwa hiyari ni raha sana siyo kufatafata kama mkia 😂alisema Rispa akienda chumbani kwake kuweka zawadi Nilicheka sana , huyu binti alijua mm namfatafata Jerry wakat Jerry ndo hapumui asiponiona 🤣🤣 huyu dada siku nikiolewa na Jericco atakunywa chupa akufweeeeee 😂😂 Basi Nilifurahi sana kwa zawadi zile miaka yote nadet na Lawrence zawadi pekee aliyowahi kuniletea nibablish 🤣🤣 nazo
0 Comments