
Nilienda kule chuoni watu wako buze bado kama nusu saa tuingie kwneye huo mtihani yaan sijasoma chochote kichwani kuko empty aisee 🙌 Nilipanick balaa nikamfuata mkaka mmoja hivi alikua kiongozi wa kiroho huko kwenye umoja wa kanisa lao Basi ni classmate wangu nikamuimba anielekeze japo kidogo Hakuwa mchoyo frank alinipiga brash ya maaana na uzuri ni kuwa mimi ni geneous yaan fast learner la hatari hahaha Badi mpaka tunaingia kwenye mtihan tayar nishaelewa kila kitu Tukaingia kwenye pepa ubaya nilipangwa karibu na Lawrence aisee yule kaka alikuw ananipiga kijicho chaa kichawi balaa Yaann alikuwa ananiangalia vibaya sijapata kuona Nilimjali basi
0 Comments