
Unajua Jerry is my step bro but ni mtu ambae tunaishi pamoja since tuko wadogo Yaani mama yake ni mtu wa french na alizaaga tu na baba yetu wakaachana ….. baba sasa katika pitapita akapata halfcast ambae ni mama yangu wakanizaa mimi mama yangu ni halfcast wa england ila alishafariki kwahyo baba akaamua kurudi kwa ex wake wa kwanza mama jerico waendeleze maisha ndo mpak sasa wanaishi pamoja …… “Eeh babayenu kiboko alitaka watu wa ulaya tu 😂nilimtania Zarina “Ndo hivo sasa hakuwa interested na watu weusi kwahyo miki nikalelewa na baba na mama yake Jerry huko french moaka nikawa
0 Comments