MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7

Nabil akashusha pumzi kisha akatabasamu, tukashangaa anaondoka zake, hatukumuuliza maana ni mtu mzima na anajua anachokifanya hivyo sisi tukaendelea na mambo yetu.. Basi Yule faisali akawa ndio kama rafiki yangu, tulikuwa tunatembea pamoja muda mwingi na ndio nilikuwa nakaa nae sana kuliko watu wote, yaan ni kama damu zetu zilienda.. Tulivyopata chakula cha mchana Feisal akataka tutoke walau tukaangaze angaze macho nje ya ile nyumba, basi kweli tukatoka, na tukaenda kuna sehemu inauzwa ice cream ila ilikuwa na sehemu ya kukaa, yaan ipo kama restaurant flani ila kunauzwa ice cream na snaks tu.. Tumekaa sehemu tunakula zetu ice cream, mara

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments