
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Basi iyo siku nipo zangu kwangu baby kaenda kazini mala simu yangu inaita kuichek ni grace nikashangaa uyu dada mm na yeye tulishanuniana tangu nimechambana nae leo imekuajeee tenaaa,nikapokea ile simu nikasema hallow vp grace akanmbia dhoga vp nikasema powa akanmbia shoga mwenzio nna matatizo naomba unikopeshe laki 3 tu, pesa kwangu ilikuwa kawaida nnayo ya kutosha nikasema mh mm sina pesa katika simu nnayo cash inakuajee akanmbia sikia kwan ww unakaa wap mm nifate apoo nikamuelekeza akanmbia nakuja basi apo chapu shoga nikamwambia ukifika tu getini nistue mm bwana sikuwa na roho mbaya kabisa
0 Comments