
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Bsi tajeed akasema sawa bb sisi tumekuelewa tunaomba tukuache sasa si unajua majukumu ni mengi sana akasema naelewa hakuna shida ila pa umejua kuchagua jamani munira mzur nyie nikacheka tu nikasema amna bibi mbona kawaida tajeed akasema bibi we acha anaitesa mm uyu nashukuru ata amepata mimba labda atatulia nikabaki nacheka tu Tajeed akamuachia pesa bibi yake akanichukua tukaanza safar ya kuludi sasa dom mana uku tulikaa siku 4 na wenzangu washamaliza mitihani nilikosa kama mitiani 5 hivi , nikawa nawaza tajeed akanmbia munira nn tena mbona tumetoka kwa bibi na rahaa tu mbona unanyongea
0 Comments