
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Tajeed akasema unataka nn kwnagu we maraya unataka kuniletea ukimwi mm nikasema tajeed naomba uje hospitali flani nikamtajia jina , nna hali mbaya sana mengine tutayaongea tajeed , akasema nn ww maraya mkubwa unataka kusema nn unafanya mapenzi na wanaume wawili na mimba yangu maraya ww ushauaa kiumbe changu si ndio nikaabaki nalia sina ata cha kumjibu nikasema tajeed mm nipo katika matatizo na sababu ni ww naomba usinifanyie hivyo akanmbia maraya ww tena mm nikija uko nakuja kukua na koma kuzoea hiii namba kunipigia maraya ww,unaona sikutoshi mm sio kweli nilikulupuka sana kwako akakta
0 Comments