
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Basi baada ya chakula akanipa dawa zangu zote nikameza akanishika mkono mpka chumbani kwangu akanilaza kanmbia munira naomba ulale usiwe na mawazo kabisa katika dunia tunakutana na mambo mengi sana lakini lazima tupambane nayo maisha yaende na tujijali wenyewe tuache kuwawazia watu wanatugikiliaje munira kuwa na amani kabisa maisha yaende unasikia baby nikasema sawa tameer asante kwa kunitia moyo akanmbia najua umekutana na historia mbaya sana japo nimeijua kidogo tu ila imeniumiza mnoo sitamani ata kuijua full ila naomba uwe na amani apa upo sehemu salama Na ata wazazi itafika mda wataelewa tu sawa munira
0 Comments