
Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Basi sasa wateja wakaanza niomba namba zangu na apo wanakuja watu wana pesa tu sio masihara mitongozo ikaanza sasa kwa kasi sikutaka kuingia katika mahusiano kabisa sikutaka pilika pilika nikawa nawakataaa wengine wananitumia pesa mnooo ile niwe nawo lakini sikuwa tayar Siku iyo nipo zangu busy na kazi akaj boss jabir sasa aknmbia munira ebu njoo kwanza kuna duala tuongee nikasema sawa boss ni umli wa tameer ila namuheshimu sana si unajua boss hana idogo tena😂, nikasema yes boss vp akanmbia sikia ukichoka nambie leo home nakupeleka mm tameer kanipigia kanmbia atachelewa ameitwa nyumbani kidogo
0 Comments