MUNIRA sehemu ya 41

MUNIRA sehemu ya  41

Mwandishi; LISSA WA BAHARI (HB) Jabir akasema no tameer mm munira namtaka kweli wala sina nia nae mbaya kabisa nipo teali kumuoa kabisa tameer akampiga ngumi jabeer nikasema tameer acha akanmbia kelel munira tena nyamaza mh nilikaa kimya Tameeer akmwambia jabeer ww ni mshenzi tena ni mshenzi haswa ushazilisha wanawake wangapi mbona ujawaoa kawaoe ao kwanza na sio munira , mm nilimleta apa afanye kazi na sio upumbavu wako jabir akasema ww vp mbona unaleta povu mm munira nimemtongoza na kanikubali mwemyewe kwani nimemfosi mm au uyo munira ni mtoto unamtaka ww sio , nikaona apa kumekucha sasa​ Tameer akasema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments