MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1

Ni mwaka 1997 ndio mwaka niliokuwa naanza darasa la kwanza katika kijiji cha nduruma, shule ya msingi mlangarini.. Nilikuwa natoka kwenye familia yenye uafadhali wa maisha kidogo pale kijijini, kwa sababu kwanza nilienda shuleni nikiwa nina nguo za shule zote, na viatu vyeusi ambavyo vilikuwa vimepigwa kiwi vizuri na guo yangu ya shule iliyopasiwa kwenye pasi ya mkaa… Ingawa tulikuwa bado tunaishi kwenye nyumba ya udongo, ila angalau nyumban kwetu kulikuwa na solar, hivyo ndio nyumba pekee ambayo ilikuwa inawaka taa tena vizuri sana, kuna baadhi ya watu wakawa wanatuita matajiri, kwa sababu baba ilikuwa kila jumapili analeta jenerator analiwasha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments