MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2

Nimekuja kuamka nipo hospitali ya mount meru, na wakati huo ilikuwa ni mchanam nikajua kuwa ni lazima nilikuwa nimepoteza fahamu kwa usiku mzima, na kweli ilikuwa hivyonna jina la kwanza kulitaja baada ya kufungua macho ni omary … Mama yangu alikuwa pemben yangu, akaniangalia kisha akasema “ zinura mwanangu ndio kwanza umeamka, nambie una sikia njaa.. Ni kama sikusikia swali la mama yangu, nikawa na mimi nauliza swali kuwa omary yupo wapi?.. “ yupo mwanangu, yupo pona kwanza utaenda kumuona, mama yangu alisema, ila alikuwa ababuabfalia kwa sura ya majonzi ikionesha wazi kuwa omari hakuwa sawa kama mama anavyosema, nilielewa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments