MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4

“ ulikuwa unafanya nini na Yule mpuuzi jikoni, yaan kumbe unalipwa mshahara ili uje ufanye umalaya si ndio, kweli wanawake ni viumbe wa ajabu sana, hamjulikani mnataka nini, hapa umekuja kufanya kazi upate hela, au umekuja kutafuta bwana mwenye hela, ambapo hautajali hata kama unatoa utu wako cha msingi uwe nae tu, huyo kiyan unae muona ana mchumba wake na ameshamtolea mpaka mahari, jitulize, mbona wewe mzuri tu na unaweza kupata mwanaume mzuri wa maana ambae anaweza kukuoa, akasema… Nikashangaa kwa nini anasema vile, kwa sababu kwanza sikuwa nimefanya jambo lolote baya na kiyan, na sikuwa naona sababu yay eye

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments