NDEFU HALAFU NENE ILA INANIKUNA SEHEMU YA 09

NDEFU HALAFU NENE ILA INANIKUNA  SEHEMU YA 09

Nikaganda hapo mbele nakwambiašŸ˜€,waweza sema traffic kakutana na dereca mtata siku hio,nilifura balaa hapo tumbo langu halikuacha kulalama kwa njaaa.....baada ya muda kupita nikamuona kama kuna mkaka anatakankutoka hivi ila anajishauri tu...basi sikuakata tamaa nikabaki nimesimama hapohapao....cha ajabu yile mkaka sijui alyekuwepo akagoma kutika basi nakwambia kqavile ni baravara ya uswahilini na hakuna magari yanayipita mie nikakaa hapo hadi saa moja kasoro..imagine ilikuwa ni saa kumi na moja hadi saa mija?kweli jamani?kama ni dharau hizo za kiasi gani jamani ilihalia anajua kabisa ni yeye mkosaji? Njaa ikazidi kunitafuna sasa na kama ujuavyi ule msemi ysemavuo"adui yako muombee njaa"hapo ndo mie

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments