MY WANGU❤️ sehemu ya 93

MY WANGU❤️ sehemu ya 93

Basi jioni tu ya siku iyo iyo bibi mie nikaruhusiwa. Nyieee ilikuwa shereehee. Yani uyo zayd ni furaha mdaaaa wote . Ni kufurahi tu .mda wote kamshika mwanae anambembeleza mtoto ata akalii. Nyie kama mbegu nilipata mimi. Katoto kazuri aswaaa. Mie wala sikuoga maji ya moto kwani mie kuku🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Nilitumia tu sindano na vidonge kukausha kidonda. Baada ya week mbili nikawa powa kabisa. Nikawa nanyonyesha mwanangu. Nyieeee katoto kazuri nakwambia atari mpaka baba mkwe akaja kumuona. Mtoto ana wek 3. Alinunuliwa kila kitu nakwambia mpaka magari ya kuchezea . Chezea watu na pesa zaoo wewe. Nikaaanza kulea na baby sasa.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments