
Basi bwana .mie nikawa busy na maisha yangu. Ile namba za yusta nilisave ila wwala hatukuwa na ushost tena. Na kama baada ya mwez niliona status yusta kapost kaolewa na mlige tena ndoa ya kiislamu. Mh niliona yusta ana furaha sana. Ila mlige wala sokuona furaha ndani ya macho yake. Mie namjua mlige sana tu..nikajua apa yusta ndo kafosi ndoa na watajijua wenyewe .mie nafanya mambo yangu. Na nipo busy na issue zangu mjini apaa. Basi mie ndo nikazidisha mahaba kwa zayd na zayd akazidisha mahaba kwangu. Penzi likachanua aswaaa jijini nikawa natamba mie . Faridah wa zayd. Basi ikawa
0 Comments