NAIMA ( MTOTO WA USWAZI) Sehemu ya 6

NAIMA ( MTOTO WA USWAZI)  Sehemu ya 6

Asha chogo akaanza kupiga kelele za maumivu apo mimi nikaanza kukimbia sasa naenda nyumbani, nashukur mtoto wa asha chogo mdogo wake ndio alikuwa amemshika lasivyo na yeye angeumia na chupa ile . Daaah nafika nyumbani nahema vibaya mno ,shangazi alikuwepo naona nae ndio alitoka kuingia sio mda . Shangazi aksema eeeh naima nimekusubir sana nilijua tu utakuja kabda hujaingia ndani kwangu nataka ela yangu aiseee sitaki mchezo kabisa ile ela ni ya marejesho kama unavyonielewa shangazi sitaki kabisa mchezo . Apo mimi nahema vibaya mno . Nikasema shangazi tutaongea badaye kuhusu iyo ela saizi ngoja kwanza bwana . Nikataka kuingia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments