NAKUPENDA ZAINAB❤️ Sehemu ;24 na 25

NAKUPENDA ZAINAB❤️ Sehemu ;24 na 25

Basi bwana penzi langu na zainab lilinoga hatari, tulipendana mno ,yaani mno, mwisho wa mwezi ukafika baba akanipa mtaji, zainab akanishauri nifungue duka langu za kiume, mtaji ukikuwa nitaboresha pawe na kila kitu cha kiume ,basi kweli nikafungua pale pale jirani yake maana soko lote lilikuwa hamna duka la nguo za kiume,lilikuwa la kawaida tu si ndio nilikuwa nimeanza na mzee hakunipa ela nyingi ilikuwa haitoshi, zai akaniongezea ,basi kweli zai alisema kweli maana niikuwa nauza mno pale, nikaanza kuongeza vitu ,mkanda , masweta, saa, perfume, na vitu vingine vingi nikapatengeneza pakawa pazuri ,nilifolcus kwenye kuweka duka sawa na kukuza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments