
Sehemu ;21 Nikasema zainab ebu tutafute siku tuongee hiyo issue kwenye simu hatutaelewana ,akasema sawa haina lini mimi nataka nijue kwanini ulinifanyia hivyo ,daaah demu anang'ania uyu jamani sasa nitampa Maelezo gani kuwa sikumpenda kisa mbaya 🤣. Nikasema sawa siku yenye ukiwa free, aksema sawa basi jumapili nakuwaga tu nyumbani utakuja ,nikasema mmmh kwenu,aksema amna nishaama nakaa kwangu saizi ,daaah ndio kakazidi kunivutia mimi bado nakaa kwetu ila zai kapambana anakaa kwake daah nikazidi kukapenda,(kuna watu utasikia penye umeona zai amependeza, anahela ndio najirudi mniache jamani 🤣🤣 ila mimi nakapenda saizi ). Basi nikaongea pale na mchumba adi mida flani
0 Comments