
Basi hapo nikakaa zangu kimya na hapo hata sielewi kabisa nini nifanye ama nini niamue ,kwa namna nilivyokuwa mshamba hata kioo cha gari sikuweza kukifungua kabisa yaani nikabaki naduwaa tu hata kutoroka au kujiokoa sikuweza kabisa.Hapo safari ikawa mkukumkuku hadi tukazama ndani ya jumbakoja kubwa sana..nikabaki nashangaa tu. Nilipoanz kuona swimming poola na wanyama wazuri nikajikuta naanza kucheka ni wazi nilisahaunkama nimetekwa😀ila nuru mimi ni kichaa hakika. Mwendo ulikuwa ni uleule ,sikusemeshwa bali nilibebwa mkuti hadi ndani ya nyumba hio.Ni zaidi ya ghadabu kwani hakukuwa na mtu bali mimi na huyo mkaka tu ndani ya hilo jumba. Akili ikaanz akwenda
0 Comments