
"Wananitaka ila.mie siwataki...siku nikianza kuwataka wao mie hawanitaki....si wengine ni hao wenye vibamia...mbaya zaidi nikiwataka wenyemizigo wananikubali halafu wananikataaa.....nuru mie nuru mpenda mizigo"nilijikuta nikiimba nikiwa narudi om na wadau wangu... "Domo zegeee eeeeh!!!"nikaita. "Eeeeeh nuru"akaitika. "Nimelewa chakari bin vuup hakika..nahitaji unibebe jembe langu"niliongea. "Jitwike mgongoni .. Malkia wangu ombi lako kwangu ni amri..."alizungumza wote tukajikuta tukicheka kwa pamoja......nikiwa napanda domo zege aliachia ushuzi... "Aaaaah!!!!tayari hana linda huyo"suma alisikika akizungumza..... "Linda unalijua wewe au unataka nikuoneshe ulipo ...hapo wakaanza kusogeleana....sijui ni pombe ama laaah wakajikuta wakipigana....."kwa namna nilivikuwa ninechoka sikuona sababu ya kubishana nao ......nilikuwa na bia mkononi nikawamwagia wote vichwani.....
0 Comments