NDEFU ILA INANIKUNA SEHEMU YA 05 ENDELEA.....

NDEFU ILA INANIKUNA  SEHEMU YA 05 ENDELEA.....

Saa nane usiku ikafika hatimae nikawa nimechoka...nilipotazama pembeni suma na domo zege walikuwa wamelaliana na wanamama walevi kwenye mabenji....sikusita kuwaamsha ..sikutaka wamama wa watu wachafuke kwa mikojo😀. "Oyaa wanaa!!!,wanaaa!!!!acheni basi...embu amkeni haraka...tuondoke...nisije kubakwa hapa na kutolewa rinda ingawa mpo mahala hapa wehu nyie"nilizungumza. Nilipoona hawaamki mahala hapo sikusita kuwamwagia maji ya ukoko ya mama jamali😀...... "Hahahaha"nilijikuta nikiangua kicheko kwa namna suma alikurupuka. "Mvua jamaa mvua nahitaji kukinga maji..kwa uhaba wa maji dar..nitakufa hakika😀"Baada ya kufumbua macho vizuri akajikuta akiangua kicheko kwa mazingira aliyokuwepo. Basi pamoja na wadau wangu tukaongozana hadi nyumbani kwangu.....waliponifikisha wakageuza makwao.... "Mfyuuuuu!!"sonyo la mama mwenye nyunb ahalikuacha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments