
Nilipoona haniitikii nikaamua kumkimbilia sasa maana sasampa hilo hapo linaondoka mbele ya macho yangu like serious??sijui nimepatia...basi mbiombio yule kaka naye ni kama.kiziwi wala hasimami...saa ngapi miguu ikaachama na mwili nikatua chini kama mzigo puuih"yalaaah uwiii!!!!nikajikuta nikipiga kelele kwa maumivu......sauti yangu ikawafikia washikaji wangu hakuna aliyeninyanyua wengi walibaki wakiangua kicheko kutokana na namna nimeanguka...sikumind nilinyanyuka na kuendelea na safari...ni kawaida kwa washkaji kuchekana kwenye vitu kama hivyo...basi nikanyanyuka mahala plae na kuendelea kumkinbilia huyi jamaa...kiukweli ni kama alikuwa anafanya makusudi vile kwani nilipokaribia kungikia alinitazama kw amacho ya dharau kisha akafunga mlango na kuondoka. Sikukaa kinyonge kwa namna hio ,nuru
0 Comments